Wauza smartphone tukutane hapa

Naombeni ushauri please

Kati ya Samsung A10 na OPPO A3s. Na OPPO A83



Simu gani ni nzuri zaidi kati ya izo nataka nichukue moja wapo
 
samsung note 1

BEI : 150,000

angalizo : HAIPUNGUI HATA SHILINGI 5

UBORA: SIMU NI IMENYOOOKA SAFI kabisa
 

Attachments

  • IMG_20190613_103247.jpg
    177 KB · Views: 21
  • IMG_20190613_103346.jpg
    147.7 KB · Views: 25
  • IMG_20190613_103415.jpg
    142.7 KB · Views: 26
Mbona umu sioni Tecno au Infinix?
Au macho yangu?
Nakutana na Iphone na Samsung ndiyo wamejaa.
 
SAMSUNG M30 FOR SALE Tsh 450,000/=
Inakuja na Box Lake na Charge yake plus cover.


CONTACT : 0673932133
 
Mambo vp mkuu.

Nataka kununua kati ya Samsung A30 au M30 ila sijui ipi ni bora zaidi.
Unaweza kunipa tofauti ya hizi brands tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…