Mayor of kingstown
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,898
- 4,156
Picha MkuuSamsung galaxy s7 edge iko kwenye condition nzuri kbs. Bei 350k
Camera ya sim nlopigia kdg majanga ila i hope zinaonekana fresh. Sim iko kwenye condition nzuri tuPicha Mkuu
Haina scratches Mkuu?..Camera ya sim nlopigia kdg majanga ila i hope zinaonekana fresh. Sim iko kwenye condition nzuri tuView attachment 1131555View attachment 1131556View attachment 1131557View attachment 1131559
Haina scratches Mkuu?..
Hauna mazara boss technic ya biashara tuikifika 120 nicheki maana hapa pana ugomvi na marekani ambao hatujui utaishaje
Bado ipo hii?Nina Nokia 5
Nataka 150000
Bado ipo hii?Samsung galaxy S6 Edge plus kama buree ina crack kdg tu ila iko vzr mno Bei 250000//= NICHEK 0714314361 au 0769444427View attachment 1117917View attachment 1117918View attachment 1117919View attachment 1117921
Achana na habari ya kujadili! Chukua 250 iliyonyooka!Ni pm tujadili
Vipi bado ipo hii?Samsung galaxy j7
Clean as new,
Bei 250000tsh
0687418839/0653316087/0753063142
[emoji625][emoji625][emoji625] location Mlimani cityView attachment 1115824View attachment 1115825
Mkuu ipo hioNjo uchukue camon x mpyaa 130
Njo uchukue camon x 120
Yani frame yake kama imechunika chunika..au ni kava hilo Mkuu ili tuyajenge.scratch ipo kdg upande wa juu kushoto
Nimeshaiuza ndugu.Una maana gani unaposema unayo mpya..!?
Maelezo kidogo..picha zinaruhusiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Laki 5 kamili nduguUSA s7edge bei gani
IpoBado ipo hii?
Frem iko fresh mkuu haina mkunjo wala niniYani frame yake kama imechunika chunika..au ni kava hilo Mkuu ili tuyajenge.