Vipi mbona inaweiew vikwazo na US? Haitahadhiri matumizi yake kweli?Achana na tecno ww
Njoo uchukue Huawei full box bei chee
Bado simu unayo?Njo uchukue camon x mpyaa 130
Njo uchukue camon x 120
Kuna 300k mkuu, vipi itakufaa?Samsung galaxy s7 edge iko kwenye condition nzuri kbs. Bei 350k
Haina shidà bossVipi mbona inaweiew vikwazo na US? Haitahadhiri matumizi yake kweli?
nipe 330 nikupe s7 edgeKuna 300k mkuu, vipi itakufaa?
Uko wapi na niwekee picha zake niione mkuunipe 330 nikupe s7 edge
nipo dar es salaamUko wapi na niwekee picha zake niione mkuu
sim ni clean kama mpya ndo natumia sijapiga picha badoUko wapi na niwekee picha zake niione mkuu
Poa check pm yako basi mzeenipo dar es salaam
Unataka infinix?Mbona umu sioni Tecno au Infinix?
Au macho yangu?
Nakutana na Iphone na Samsung ndiyo wamejaa.
YapUnataka infinix?
Natafuta infinix hot 6
Ipo s3
Ngap wauza?Ipo s3
210kNgap wauza?
Leta details pm mkuu210k
Leta maelezo yake mkuu kuanzia bei specification storage na picha kama utaweza tufanye biashara