Wauza smartphone tukutane hapa

Mwenye Tecno CX Anicheki PM
Location Mbeya
Price range :190K - 170K
Iwe kwenye hali nzuri
Uje na picha zake tuyajenge
 
Niko na 130K mfuko wa shati
Napata tecno ipi wakuu?

Mwenye nayo aje PM chap
 
Genuine iPhones unazifahamu vipi, naomba mwenye uelewa hapa anijuze.
 
Mwenye samsumg A20 iliyonyooka isiyo na makàndokando anichek inbox
 
Wauzaji waliopo mwanza, nahitaji simu mbili mpya moja ni Samsung A10 na nyingingine Samsung A2 core. Bajeti yanngu ni 480,000 cash.
 
Mkuu vipi ulifanikiwa kupata s9+ kwa bei gani inasimama kwa sasa...?
Saiv zimeshuka bei..sijafatlia tena ni bei gani mana nilibadil mawazo na kuanza kuzicheki G.pixel ila waweza cheki humu mana wadau wanaziuza na bei zipo cleared!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…