Mkuu hii simu bado ipo aseh nahitaji chap kama ipo
Note 2 ina wiki tatu tangu imekuja kutoka Korea
sh ngap
mawasiliano yako mkuu
Nauza Samsung Galaxy Note 3 mpya kutoka Dubai
internal storage 32gb
camera 13MP
Sijaitumia ila nimeitest Inafanya kazi vizuri
Bei yake 400,000shs
Nipo Arusha
Natafuta simu yoyote nitakayoweza kupiga na kupokea bila kusumbuliwa na sauti bei kuanzia 10,000-150,000