Wauza smartphone tukutane hapa

iPhone 6 plus 64GB
Colour:Gold
Condition:Good condition
Price:450,000
Sina picha ukitaka ona wasiliana na mimi 0714 036595
 
Natafuta Samsung Galaxy Tab A(2016)
Model number SM-T585, ziwe mbili nitajie na bei
 
Samsung Grand Prime Plus
Bei yake ni 100k tu

Call or Whatsapp
+255783430151
 

Attachments

  • 20191205_230528.jpg
    194.8 KB · Views: 2
OFA OFA OFA

Airpods 2
bei ni 95,000/= tu fixed

-2-3hrs battery

-zina charging case
- zinakuja na charging cable

-case yake ina support wireless charging
- ina very good sound yenye deep strong bass

- zina gestures kwamba kwamba uki double tap wakati zipo maskioni na kidole ...ina cheza next song ...uki tap mara moja mziki una stop na kwa iphones uki longpress zina activate *siri*

- ina work kwa android na iphones japo mwenye iphone ataenjoy features zake nyingi (kama pop up feature ya H1 chipset )

karibu sana zipo za kutosha
ukitaka

wacheki
MUDDY 0713358355

au
JOAKIM 0744707465

bei ni fixed karibuni
 
Simu za infinix zilizopo zote ni mpya
Hot 8 lite bei 250
Smart 3+ bei 290
Hot 7 bei 240
S4 bei 350

Simu za Tecno zilizopo zote ni mpya
Sprk 2 bei 230
Spark 3 na pro yake bei 250
Spark 4 bei 300
Camon 12 bei 350
Kwa masiliano piga simu 0652565597 au 0743448656
 

Attachments

  • IMG-20191129-WA0014.jpg
    45.6 KB · Views: 2
  • IMG-20191129-WA0015.jpg
    59.9 KB · Views: 2
  • IMG-20191129-WA0016.jpg
    50.3 KB · Views: 2
  • IMG-20191129-WA0017.jpg
    64.4 KB · Views: 2
  • IMG-20191129-WA0018.jpg
    60.9 KB · Views: 2
  • IMG-20191129-WA0019.jpg
    68.5 KB · Views: 2
  • IMG-20191129-WA0020.jpg
    58.5 KB · Views: 2
Nauza
Nokia
e63 =90k,
asha 302=90k,
c1=50k.

Haipungui hata mia, zipo saf kbsa, ngoja naweka pics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…