Mtafutaji01
Member
- Dec 7, 2019
- 7
- 2
Nipo serious kununua hii tab,vp elf 80 unapokea?Nauza tablet ya vodafone vfd 1100 iko katika hali nzuri mno,haina shida yeyote ni nzima kabisa kama unavyoiona kwenye picha,
inakwenda kwa bei ya 125,000 mazungumzo yapo,
Nipo mbeya mjini nicheki kwa 0767142928 karibu tufanye biashara.
Bado upo chini sana boss! Ongeza dau boss
Huawei.. 50 chap
Ni kama mpya ilikuw ktk droo tu View attachment 1312178View attachment 1312179
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh mbona bei kubwa sana punguza maana vyuma vimekaza aiseeElephone u
internal memory 128GB
android version 8 na inaweza kuwa updated
ina curved surface kama Samsung edge na ina mwonekano mzuri sana pia
haijasambaa sana wachache wanayo but ikpo poa sana
kuna blue au black
mwonekano wake ni kama hivi
The Blue One
The Black One
check me 0621021692
Elephone u

Bado ipo ,wakuu karibuni.Nauza tablet ya vodafone vfd 1100 iko katika hali nzuri mno,haina shida yeyote ni nzima kabisa kama unavyoiona kwenye picha,
inakwenda kwa bei ya 125,000 mazungumzo yapo,
Nipo mbeya mjini nicheki kwa 0767142928 karibu tufanye biashara.