Wauza smartphone tukutane hapa

Narudia tena nahitaj s4 32gb,isiwe ya magumash nahitaj iwe katika good condition,weka na bei yako mimi offer yangu 300
 
huawei y530 kwa 120k

Whatsapp 0657445777

kwa picha
 
Mediatek ni mchina hiyo ambayo hata update haipatiii mfano techno zote ni mediatek

mediatek zipo zinazopata updates bhana,acha urongo baadhi ya simu znapata updates kama kawa,google simu inaitwa micromax canvas a1 nilishaitumia sana imepotea juzi tu apa nilikuwa napata firmware updates tokea kitkat,lollipop mpaka mashmallow.
 
BB 8520 Tatizo lake nimepoteza kava la nyuma kama unapoona kwa picha....
Lakini haina tatizo lingine lolote.... Inataka elfu 50
 

Attachments

  • 1448776303021.jpg
    35.2 KB · Views: 252
  • 1448776323460.jpg
    29.1 KB · Views: 232
  • 1448776333218.jpg
    24.8 KB · Views: 234
natafuta sony eperia yoyote yenye kamera safi bajet yangu laki mbili
 
Nokia Lumia 1520
32 GB , 2GB ram
White in color, build in windows 10 TP 10586
Price 750k
0713422826 Tanga.

Hajjmakwato
 
Nauza galaxy note 4 yangu, used one week, bei 1,300,000=,ina vifaa vyake vyote, cover na screen protector safi,colour ni bronze gold. Bei haipungui. nauza because nataka iPhone6+.Aliyeko serious anipm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…