Rocky City
JF-Expert Member
- Nov 22, 2017
- 892
- 683
Mm nilikuwa nayo inatoa msitar then unafutika ....hiz sim nzur ila vioo vyake mayai mno..Tuwekee tuone kama kioo kizima au kishatengeneza ile mistari ya pink?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nilikuwa nayo inatoa msitar then unafutika ....hiz sim nzur ila vioo vyake mayai mno..
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua 150Nipo Dodoma
Ovyo sana mkuu,tena sana nisimu nzur kwa muonekano wake hasa umbo lake ila vioo vyake mhm ni shida aiseee..Mimi nilikua na s6 edge plus yaan yenyewe ilianza kutengeneza mstari wa pink, nikaipiga bei fasta alafu vioo vyake bei ipo juu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mawasiliano mkuu au nifuate inboxIphone 6s plus 64gb
Battery life 100%
580k
Hii ni zile iphone org
Used for 2 months onlyView attachment 1407376View attachment 1407377
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana boss Bado ni mpya km una 200 nakukaribishaChukua 150
Naomba bei zaA10s 320,000
A20s 410,000
A30s 520,000
A50 650,000
A51 720,000
A70 845,000
Simu zote ni sealed na zina warranty ya miaka miwili kutoka Samsung.
Napatikana DSM, delivery ipo kama utahitaji.
Contact 0625 54 77 67. View attachment 1408419View attachment 1408420View attachment 1408421
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo cm ni nzuri sana ila walifeli kwenye kioo, karibu watumiaji wengi wa simu hizo wana tatizo la kioo kuchora mstari upande mmoja