Wauza smartphone tukutane hapa

Nahitaji tablet ya bei reasonable
Iwe na windows kuanzia 8.1
Au Android kuanzia 4.2
Au iOs kuanzia 6
Niko Geita
 
tecno p9 mini pad.inauzwa laki na nusu.ipo vizuri haina tatizo lolote.kuangalia bure.
 
Ipo galaxy s4 i9500 rangi nyeusi imepasuka kioo kidogo..bei 280000/= namba ya muuzaji ni 0712458872 dar.
 
nahitaji kioo cha ndani na nje (full complete display) cha samsung galaxy s3 mini
 
Nina iphone 4s naitumia mwenyewe, anayehitaji aje inbox
Bei 500,000 cash hakuna punguzo
 
Siamin kama mmeshindwa kuniuzia cm ya 350 haya ngoja nikanunue viwalo maana jamii forum imeshindwa kuniuzia s4 kwa hela iyo
 
M1 mnaicha hivi hivi? Yaan mnashindwa kweli kupata iphone 6+?!!
 
nahitaji tecno h6 au c5 au c8... kama kuna anayeuza simu mojawapo kati ya hzo anitafute through 0715289314,,,nipo dsm.....
 
Nauza samsung galaxy y pro duos iinafanya kazi vizuri bila shida inataka 50000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…