Wauza smartphone tukutane hapa

Nauza samsung galaxy y pro duos iinafanya kazi vizuri bila shida inataka 50000
 

Attachments

  • IMG-20151204-WA0000.jpg
    64.3 KB · Views: 309
  • IMG-20151204-WA0001.jpg
    42.6 KB · Views: 297
  • IMG-20151204-WA0003.jpg
    58.3 KB · Views: 289
  • IMG-20151204-WA0002.jpg
    66.9 KB · Views: 290
nahitaji tecno h6 au c5 au c8... kama kuna anayeuza simu mojawapo kati ya hzo anitafute through 0715289314,,,nipo dsm.....

Njoo nikupe Tecno Boom J7,nicheck kwa no 0713228915 kama uko interested
 
HUAWEI ASCEND G-610
Simu ni used but ni grade A kwa maana ya kwamba ni kama mpya. Ina specification zifuatazo....
(i) NETWORK
TechnologyGSM / HSPA
(ii) Size5.0 inches
(iii) CPUQuad-core 1.2 GHz
(iv) Internal4 GB, 1 GB RAM
(v) CAMERA
(vi) DUAL SIM
Primary5 MP, autofocus, LED flash. Bei ni 180,000/=. kama upo tayari nicheki kwa 0713672532 au 0765935449 tufanye biashara
 
nauza samsung galaxy s3 min
storage 6 Gb
camera 8 mega pixel
good condiction
sh 220000
ubungo
0753014872
 
Nahitaji Blackberry Q10 au Q5 mpya au used iliyo katika hali nzuri budget yangu ni 250k. Nitext kwenye 0655069989 kama uponayo.
 
Ni HTC desire 816 dual sim

nauza 500,000 nitafute kwa whatsapp +27634775160
 
Haya s3 hiyoo... Haionyeshi kitu black screen. Bt inawaka.. 50,000 cash.. Kutengeneze kioo
 

Attachments

  • 1449497389442.jpg
    38.4 KB · Views: 223
  • 1449497406280.jpg
    40 KB · Views: 228
nahitaji kioo cha ndani na nje (full complete display) cha samsung galaxy s3 mini

Yangu s3 kioo complete with wamedau laki na 70 yawezekana yako ikawa pungufu kidogo... Nilivyo sikia laki na 70.. Nimeghairi ata kutengeneza... Now naiuza 50,000
 
Tecno c5 inajibonyeza bonyeza yenyewe tatizo linatokana na nini?

Hata Mimi yangu ina tatizo hilo...... Nmeulizia nmeambiwa tecno wanalifahamu tatizo hilo......
Ni tatizo la display sio software...... Nenda duka ulilonunulia wakuelekeze service point yao wakakubadilishie bure...
 
I phone 4 for sale 290000 iko dar msasani kwa anyehtaji anicheki 0757037427
Pia p7 ina tatizo la network na crack kidgo bei 260000 but vitu vingine iko poa kwa anyehtaji no hyo anichek
 
nahitaji samsung note 3 na kuendelea.... ila kuhusu malipo nitavunja bei kwa kutumia simu yangu aina ya Tecno R7 bado mpya haina tatizo lolote... kwa atakayekua tayar kufanya biashara anicheki 0712404856
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…