Wauza smartphone tukutane hapa

Nokia 5310 (2020) available
Ni version ya XpressMusic ya 2007
Rangi zake ni black/red na white/red
Bei 125,000

Tunapatikana aggrey st. DSM

0625547767 (sms, calls, whatsapp).
 
SOLD, NO LONGER AVAILABLE.

Kwa wale wa USED kuna Samsung S9 plus
Bei 650,000
Ina scratches kwa pembeni ila kioo kipo fresh.
Ukiweka cover na protector unadunda nayo kama mpya.

Ni vizuri ukaicheki physically kujiridhisha zaidi.

Contact 0625 54 77 67.

Napatikana DSM. View attachment 1466531
 
Nina iphone 7 plus 128 gb black naiuza 700,000 anaihitaji anicheki battery percentage 97
 
Redmi fans twende kazi
Note 8 pro 750,000
Note 9s 650,000

Mzigo Sealed Kama Kawaida

0625547767.

Duka lipo Aggrey st. DSM
 
Mkuu Samsung s8+ Ni mpya kabisa au used
 
Kwa vioo vya simu aina zote (LCD) na battery za simu aina zote jumla na rejareja wasiliana na mimi 0714 036595 tupo sinza na Kariakoo.
 
Jamani,mwenye TV at least 32 inches anicheck tafadhali,we can make a deal!
Yawezakuwa LG,SAMSUNG au nyingine yoyote ambayo ni durable!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…