Wauza smartphone tukutane hapa

Samsung J5 nnayo nataka mtu tubadiliahane na tecno au infinix hii samsung ina mistari kwny kioo inakuja na kuondoka,,' kama utakiwa na simu nzur zaid nakupa hii snsung na hela kdgo
 
Nina samsung note 3 ninauza Tz 350000 ila maelewano pia ya nakubalika haina tatizo lolote kwa mawasiliano 0673584574
 
Helow habar zenu wadau....ninahitaj screen ya S7 Edge Kwa bei nafuu/nzur.....screen ya sim yang( S7Edge)imepasuka japo inafanya kaz lakin inapandisha rangi rangi wakat mwngine.......au kuna njia mbadala ya kumaliza shida hii.....tafadhal whatsapp au call me 0718321418
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…