Wauza smartphone tukutane hapa

Iphone 5 inauzwa 450,000 tu.Haina matatizo ya iCloud.inacrack kwenye kioo.Kama unahitaji ni-Pm
 
Mkuu hiyo sopar 5 ni simu au kitu gani?? Maana sijakuelewa hapo MKALI WAO
 
Habari wakuu. Ninauza:
- Samsung A5 mbili @ Tshs 500,000
- Sony xperia C3 moja = Tshs 250,000
- Samsung S2 moja (mbovu) = Tshs 50,000
Ninapatikana Dar es salaam, bei zina negotlation. Yeyote mwenye uhitaji ani-PM, karibu!
 
Habari wakuu. Ninauza Samsung A5 mbili, Sony xperia C3 moja na Samsung S2 moja (Hii ni mbovu). Yeyote mwenye uhitaji ani-PM, karibu
Upo wapi, na bei gani hizo simu?
 
HUAWEI ASCEND G-610
Simu ni used but ni grade A kwa maana ya kwamba ni kama mpya. Ina specification zifuatazo....
(i) NETWORK
TechnologyGSM / HSPA
(ii) Size5.0 inches
(iii) CPUQuad-core 1.2 GHz
(iv) Internal4 GB, 1 GB RAM
(v) CAMERA
(vi) DUAL SIM
Primary5 MP, autofocus, LED flash. Bei ni 180,000/=. kama upo tayari nicheki kwa 0713672532 au 0765935449 tufanye biashara
 
Nahitaji iPhone 5s iwe nyeusi.mwenye nayo ana pm na bei yake.
 
Siamin kama mmeshindwa kuniuzia cm ya 350 haya ngoja nikanunue viwalo maana jamii forum imeshindwa kuniuzia s4 kwa hela iyo

Jomba nina Sony Xperia C3 Tshs 250,000 tu. Kama uko interested ni-check PM
 
Sumsang galaxy Note 3 for sale..ipo kwenye hali nzuri sana
colour-white
memory-32gb
bei-550000
place-Arusha
pics na maelewano-0767086777
 
🙁Samsung s3.. Imezingua kioo... Inawaka lakini kioo hakioneshi kabisa (black screen), charge inaingiza haina tatizo lingine zaidi ya hicho kioo tuu... Nimeshindwa kufanya matengenezo ya kioo.. Ndo maana naiuza kwa bei hii 50,000
 

Attachments

  • 1449677695986.jpg
    16.1 KB · Views: 356
  • 1449677706785.jpg
    14.5 KB · Views: 332
  • 1449677720854.jpg
    79.1 KB · Views: 334
  • 1449677735156.jpg
    79.7 KB · Views: 326
Hata Mimi yangu ina tatizo hilo...... Nmeulizia nmeambiwa tecno wanalifahamu tatizo hilo......
Ni tatizo la display sio software...... Nenda duka ulilonunulia wakuelekeze service point yao wakakubadilishie bure...

Ndo shida ya mchina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…