Bei ni chee jamani mnaweza kuja pm au kutuchek kwa namba zetuUngeandika na bei zake kamanda walau mtu ajue anajipanga vipi
Nina blackberry 9720
Ninauza kwa elfu 20
natafuta iphone 6+ ofa yangu ni 250,000/= pamoja na Nokia 2 exchange
Nina blackberry 9720
Ninauza kwa elfu 20
Hivi Google inafanya kazi au ndiyo wamarekani walisha iondoa kwenye simu za kichina?Nina Huawei P9 ,nataka 150,000. Simu iko locked to UK network.Simu 0712652110
0714 981607 [emoji3513]Mimi nahitaji pc ya apple
Tufanye exchange nakupe note 4 mbichiiiii na Hisense inch 32 tumalizeRedmi note 8 Ina wiki
Ram 4
Storage 64gb
Camera Kali
Bei 400k
PmView attachment 1582441View attachment 1582442View attachment 1582443
Habari naombeni mniagize simu kutoka India kama vile Lenovo,oppo,ime Nokia nk kwa wauzaji cm jumla karibuni+91 97179 98645Hallow wana JF, weka bei, picha, mahali ulipo, contact zako na specifications za device yako.
Unataka wateja wa jumla peke yake?Habari naombeni mniagize simu kutoka India kama vile Lenovo,oppo,ime Nokia nk kwa wauzaji cm jumla karibuni+91 97179 98645
Hapana mkuu mi nipo India,ukiagiza moja huon km itacost kwny usafiri? Ndy mana natafuta wa jumlaUnataka wateja wa jumla peke yake?
Ungetuwekea price list ya simu ulizonazo kiongozi
mbona tunaagizaga china na zinakuja usiwe mrahisi kuhukumu toa bei ya kununulia , tafuta kampuni ya usafirishaji, jua gharama nauhakika haizidi 50000 kila kitu......jaribu fatilia mkuuHapana mkuu mi nipo India,ukiagiza moja huon km itacost kwny usafiri? Ndy mana natafuta wa jumla
Umenielewa vibaya boss sijamhukum mtu ,simu ya bei reja tofaut na jumla mfano anaweza niambia anahitaji simu ya aina gani? Nimpe bei apambane nayombona tunaagizaga china na zinakuja usiwe mrahisi kuhukumu toa bei ya kununulia , tafuta kampuni ya usafirishaji, jua gharama nauhakika haizidi 50000 kila kitu......jaribu fatilia mkuu
Sasa jumla kwako inaanzia piece ngapi?Hapana mkuu mi nipo India,ukiagiza moja huon km itacost kwny usafiri? Ndy mana natafuta wa jumla
Boss x50 pro inaenda bei gani huko?Umenielewa vibaya boss sijamhukum mtu ,simu ya bei reja tofaut na jumla mfano anaweza niambia anahitaji simu ya aina gani? Nimpe bei apambane nayo
X50 glaze black 128gb bei yake M .1270000Boss x50 pro inaenda bei gani huko?
10pieceSasa jumla kwako inaanzia piece ngapi?
Lakini watu wanaagiza headphone moja china na inakuja itakuwa simu kiongozi?
Ukipata wateja 10 wanataka simu hiyo si unahesabu tu kuwa ni jumla