Wauza smartphone tukutane hapa

Natafuta xiaomi redmi note 8 black or white chinese version ndio kipaumbele changu ikikosekana basi ata global version mpya itafaa na kama ni used iwe na hali nzuri kabisa, nicheki wasap kwa namba 0717135641 tufanye biashara
 
natafuta A21s (sumsung)nichek wasap 0673157150 offer 300k
 
iphone 6 plus bei 360k
Bh 100%
gb 16
 

Attachments

  • iphone66.jpg
    60.4 KB · Views: 2
  • iphone6r.jpg
    70.5 KB · Views: 2
iphone 7 plus
gb 32
Bh 95
 

Attachments

  • iphone7e.jpg
    67.4 KB · Views: 2
  • iphon7.jpg
    71.4 KB · Views: 2
Simu ziko nyingi sana kwa bei poa kabisa used na full box (iPhone 6 plus na 7 plus) kwa mawasiliano zaidi phone no 0622823534
 
Naomba kuulizia kwa watumiaji wa simu za xiaomi redmi ., je zipoje na o.s ni nzuri au ? Pamoja na battery kukaa na chaji , vp znakaa hata siku nzima .?
Acha kabisa ni sim nzur sana hutojutia kutumia hizo simu... Kuanzia camera, betri ni nzur sana... Kwenye Xiaomi hakuna kustack[emoji23]
 
SAMSUNG S10e [emoji336]
128GB|6GB [emoji3541]
CLEAN AS NEW [emoji817]
USED ABROAD [emoji1221]
TSH 730,000/=[emoji375]
6 MONTHS WARRANTY [emoji1666]
0714 981607 [emoji3513]
0758 294766 [emoji338]
RELAX; FREE DELIVERY WITHIN DAR ES SALAAM [emoji1631]View attachment 1610017
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…