Mwita Mtu Mrefu
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 739
- 1,113
Habari, naitwa dalali solo nipo Dar
Nahusika na kuuza simu used aina mbalimbali kwa bei rafiki.
Smart used hata ofa yako ikiwa laki 1 unapata simu kama tecno F1, F2 samsung grand prime n.k
Usiidharau pesa yako,
Nipigie 0744033555 tujadiliane namna ya kukusaidia upate simu nzuri kwa bei uliyonayo.
0744033555
Usisahau tuko na pikipiki used za kila aina kwa ofa nzuri
Tv used kwa ofa nzuris
Vivo nex unayo?Available brand new [emoji320]
Samsung S8 [emoji336]
Storage 64GB [emoji3541]
Ram 4GB
Brand new [emoji91]
Full box [emoji1003]
Tsh 460,000/=
____________________
12 Months warranty [emoji1666]
0714 981607 [emoji338]
0758 294766 [emoji3513]
Relax; Free delivery within Dar es salaam [emoji1631]
#0714981607 [emoji338]View attachment 1672805
Hapana mkuu Kuna mi note 10 liteVivo nex unayo?
Inaendaje?Hapana mkuu Kuna mi note 10 lite
Techno L8 LiteWekeni na simu za bei ya watoto wa wakulima, mbona mko biased ivo!!!
Na wengine unaweza kukubaliana naye bei hapa jf tena huko pm,ukachukua namba yake ili mkutane akupe simu nawe umpe hela.Ataanza kujizungusha na kukupa jibu kwa njia ya simu kuwa bei sio hiyo,ilihali mmekubaliana kwenye pm tena vizuri kabisa.Wengi wauzaji wa simu humu wababaishaji na utoto mwingi!!Mimi hata uniwekee bastola kwenye paji la uso sinunui simu ng'oo kutoka kwa mtu ambae ni rangi nyeusi!Utasikia "wauza smart phone tukutane hapa", kumbe simu zinazouzwa ni fake na refurbished ila kwa bei ileile ya simu original!
Kuna mmoja alikuwa anauza spark 4 akaweka namba humu anapigiwa simu anasema imeuzwa ila zipo zinapatikana, anasema hapa nipo kwenye gari nikishuka nakujulisha, baada ya masaa kadhaa anapigiwa hapokei simu, baadaye anapigiwa anakata simu yn ni mpumbavu sn yule jamaa, jina nimemsahau ila avatar yake naijua nikiiona nitaimulika humu mpuuzi yule.Na wengine unaweza kukubaliana naye bei hapa jf tena huko pm,ukachukua namba yake ili mkutane akupe simu nawe umpe hela.Ataanza kujizungusha na kukupa jibu kwa njia ya simu kuwa bei sio hiyo,ilihali mmekubaliana kwenye pm tena vizuri kabisa.Wengi wauzaji wa simu humu wababaishaji na utoto mwingi!!