Asante mkuu
PoaAsante mkuu
Leta laki nne kamili ,nakupa redmi note 10 gb64,ikiwa na nilkin casena nilkin protector charger yake na earphone zake za xiaomiNatafuta Redmi note 10
NINA SHIDA YA PESA
IPHONE X
INA WIKI 2 TU
Gb 64
B.HEALTH 100%
FACE ID
TRUETONE
NINA SHIDA NA PESA
BOX LIPO……
CHARGER NA EARPHONES ZIPO
KIUFUPI MZIGO NI MPYA
BEI milioni moja na elfu 50
N.b WATEJA SERIOUS
Calls: 0683011003
View attachment 1871132View attachment 1871133View attachment 1871134View attachment 1871135View attachment 1871136
MILIONI 1 NA ELFU 50Shingapi
Nikupe
[emoji23]Shingapi
Nikupe
Mkuu redmi note 10 ina shida gani uliyoiona kwenye kutumia maana nina mpango wa kununua hiyo simuNahitaji mtu mwenye samsung a52 nimpe redmi note 10 na top up kidogo ya pesa
Kabla ya kukujibu before ya kuinunua ulikua na device ipiMkuu redmi note 10 ina shida gani uliyoiona kwenye kutumia maana nina mpango wa kununua hiyo simu
Infinix hot8 mkuuKabla ya kukujibu before ya kuinunua ulikua na device ipi
Utaona utofauti mkubwa sana kwa kifupi kwako hutoiona kabisa dosari yeyote kwako maybe upate changamoto ya amoled screen kun baadhi ya watu hulaumu kua inawaumiza macho.Infinix hot8 mkuu
Nicheki watsap 0683011003Iphone 7 plus inahitajika