nitakutafuta mkuuG920F
Poanitakutafuta mkuu
Mkuu Nina 400k kama inawezekanaKama ni mpenzi wa bidhaa bora za samsung fanya hivi,andaa 500k nikuachie kitu galaxy tab4. 8 inatumia 5.0.2 android lolipop 16GB,1.5GB RAM,imetumika 2months only!!!Au ni pm kwa maelezo zaidi!
450k mbali sana mkuu, labda ongeza 100 iwe 550k. Chni ya hapo inakua ngumu sana mkuu wangu. Namba 0713 925908
Ipo 32 GB laki 6 mzungumzo kidogoNatafuta iPhone 5 (white) yenye iCloud ila kioo kiwe kizima. Quote au ni PM tufanye biashara.
Irudie post yangu utaelewa ninachotafutaIpo 32 GB laki 6 mzungumzo kidogo
100000 Simu gan nzuri HALISI itanifaa
Jazia hyo 50 mkuu nkuachie kitu cha maana, utaipendaMkuu basi fanya 500 kamili
C8 iponahitaji tecno h6 au c5 au c8... kama kuna anayeuza simu mojawapo kati ya hzo anitafute through 0715289314,,,nipo dsm.....
Mkuu hiyo cm bado ipo mdogo wangu anitaka n vipi bei haipungui?Smartphone- Samsung Duos GT-S7262 ipo katika hali nzuri na haina tatizo lolote. Bei 100,000.
NimekuPM mawasiliano zaidiMkuu hiyo cm bado ipo mdogo wangu anitaka n vipi bei haipungui?
Daaah sikuwa hewani ndugu anyway haikuwa bahati yakeNimekuPM mawasiliano zaidi