lufulondama
Member
- Nov 13, 2019
- 95
- 194
Ni used sina duka mie kiongoziRedmi Note 10 mnauzaje?
Hiyo used unauzaje?Ni used sina duka mie kiongozi
Iphone 6s
storage gb 128
battery health 100%
ina kreki kidogo kwenye upande wa camera ya mbele, haina madhara
bei, 320,000
mbezi kimara, Dar.
0713096076
DEADLINE: 5.3.2022
USIPIGE SIMU KUULIZIA BAADA YA HIO TAREHE
Hii ya kupiga chinj mzeeNgj nifny hvo ndg yng
Ninayo redmi note 9 nicheck inboxNatafuta redimi note 9 or10
Infinix hot 11
Upon wapi mkuuNinayo redmi note 9 nicheck inbox
Redmi note 11 brand new simu za mwaka huu ...Ninayo redmi note 9 nicheck inbox