Wauza smartphone tukutane hapa

Nauza Sony Experia V (LT25i) imetumika kwa miezi miwili na haina tatizo lolote kwa 350000/=
Yeyote anaehitaji ani PM
 
Huyo anaye hitaji Samsung galaxy S2 inapatikana bei 300,000 TSH piga no:0719-369203 ,by Matelephone,
 
Ungetoa hyo 50 ningekutafuta mkuu,si unajua umeitumia kidogo
chini ya 550 haiendi mkuu, utakua umenibana mno maana mzigo upo katika hali nzuri sana na hauna tatizo lolote. Kuna cover pamoja na charger yake og iliyokuja nayo
 
IPHONE 4..nyeupe nataka 220/= 0754 60 45 67... Nicheki whatsapp kwa picha zaidi aina mchubuko kama mpya
 
Nina galaxy note 2 made for first world. Nitafute kwa namba 0788696596. Ukiiweka tu bila kuitumia inakaa na charge zaidi ya siku 3. Ukiitumia bila kufungua data inakaa siku tatu kasoro. Ukifungua data wakati unatumia ukafunga wakati hutumii inakaa siku mbili. Ukifungua data bila kuchati humo ukaiacha tu inakaa siku mbili na nusu. Haijatumika sana. R ni 4.5. Inauzwa laki sita.
 
Samsung j1 inauzwa ni mpya kabsa nakupa na vifaa vyake vyot na box lake bei 180k haipungui call 0714702720
 
Nauza s6 imetumika mwezi mmoja, ina warranty ya miaka 2 from samsung. Laki 8. Contact 0689 309 344
 
Last edited:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…