Nimekupm mkuu nitumie nambaNinazo
ipoPicha
Bei ni 250kNauza inphinix note 10 mpya kabisa Ina wiki mbili tangu niutoe Kwa shop sifa zake zifuatazo ]
Njoo nikupe s10 kavu single line kwa 465k ina crack kidogo sanaMwenye s6 edge na s7 edge aje tuongee..... Nahitaji full Boxed.
Ina maana hujaona hata maandishi kwenye boxNauza inphinix note 10 mpya kabisa Ina wiki mbili tangu niutoe Kwa shop sifa zake zifuatazo ]
nicheki PM chiefDalali (muuzaji) wa simu used awe Dar au Dodoma
Naomba tuwasiliane nina dili nyingi sana
+255745848991 whatsap
Cm nzuri ila huo muundo hapo mbele wala hata yaan.vivo Y21
Kwa watu ambao wamechoka kufuta document za simu mara kwa mara.
Specifications:
[emoji3581]Ram 5gb
[emoji3581]Storage 64gb
[emoji1702]Camera mbele: 8mp
[emoji1702]Camera nyuma: 13mp + 8mp + 2mp
[emoji3581]Network: 4g
[emoji3581]Double line
[emoji3581]Chaji: 5000 mAh
[emoji3581]Warranty miaka miwili
[emoji3581]Android 11
[emoji3581]vivo cloud
[emoji3581]Inagawa screen mara mbili - unaweza ukachat na kuangalia video kwa wakati mmoja
[emoji3581]Ina chajisha simu nyingine
[emoji3581]Ina Otg (wasajili line inawafaa sana)
Bei: 450,000
[emoji3513]Mawasiliano:0767 557419
Kama namba iko bize piga tena
Tunapatikana kariakoo mtaa wa aggrey - china plaza - ground floor
Ukiwa simu kwetu unapewa na zawadi
View attachment 2173414View attachment 2173416View attachment 2173417
Unatumia vivo ipi?Cm nzuri ila huo muundo hapo mbele wala hata yaan.
Nawishi kutumia, ila huo muundo wa mbele km v hapo kat kat ndo sipendi yaan.Unatumia vivo ipi?
Muundo wake wa mbele ni kama kwenye picha hapo chini..Picha za juu ni muundo wa nyuma.Nawishi kutumia, ila huo muundo wa mbele km v hapo kat kat ndo sipendi yaan.
Hapo ilipokaa camera ya mbele ndo sipendi.Muundo wake wa mbele ni kama kwenye picha hapo chini..Picha za juu ni muundo wa nyuma. View attachment 2175138
Muundo gani wa mbele unakuvutia?Hapo ilipokaa camera ya mbele ndo sipendi.