Wauza smartphone tukutane hapa

Wakubwa ni akina nani wanauza hizi pikipiki za kuchaji waje tuongee biashara niichukue
Iwe mpyaa na yenye muonekano bomba kama inavyoonekana hapa
 
Wakubwa ni akina nani wanauza hizi pikipiki za kuchaji waje tuongee biashara niichukue
Iwe mpyaa na yenye muonekano bomba kama inavyoonekana hapaView attachment 2299683
Kama unaenda kariakoo shuka kituo kinaitwa fire tembea kwa miguu barabara ya msimbazi kama unaelekea gerezani utaona maduka ya pikipiki za kuchaji upande wa kushoto na kulia..

Usiende mapema sana fika kuanzia saa 3 asubuhi hivi maduka yanakuwa yameshafunguliwa
 
Iphone 11

Internal : 64GB

Battery : 95%

Price : 800k Tsh

Location : Morogoro

0764615124 (WhatsApp)
 
Nauza simu infinix hot9 nipo Morogoro mjini, simu ipo katika condition nzuri kabisa.
 
Iphone 11

Internal : 64GB

Battery : 95%

Price : 800k Tsh

Location : Morogoro

0764615124 (WhatsApp)
 










Goodmans HD Projector UK Brand
Model : 363566

Full HD Projector 1080p✅
2000 LUMEN Led ✅
Built in Speakers✅
2 HDMI input + VGA✅
USB (Flash pamoja na SD Card)✅
Bluetooth (Unaconnect kwenda speaker/headphones ✅

NImeweka picha na video uone quality yake hapo imeunganishwa na kingamuzi cha Azam

Upto 100inches Screen✅

Kwa matumizi ya ofisi ✅
Kwa matumizi ya kufundishia✅
Kwa matumizi ya kuonyesha mpira✅
Kuangalia Movie nyumbani✅

Bei ni 300,000 Tu ✅

Free delivery in DAR✅


Piga au WhatsApp: 0764081567
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…