Wauza smartphone tukutane hapa

I phone 4s 32 GB mpyaa from Australia
Ni white.. Headphone hazijakuswaa kabisa minmpyaa..
Bei inaanzia 450k kuna maelewano..
Inauzwa sio kwa sababu ya njaa.. Watu tunataka tuvute kitu iphone6..
Contact inbox me au ni pm
We jamaa 4s, dah cjui lin iphone 6 lin mie
 
Nina huawei 530 na tecno Y6 bei 130k zote mpya call me 0768879361
 
Nauza galaxy s4 ina internal 32gb, white colour, imetumika miez 2, ram 2gb, processor 1. 6ghz,android version 5.0.1, nakupa na chaja yake haina tatizo lolote bei 300k fixed kama upo tayar nitafute 0653957095 napatikana dar
 
Last edited:
Mimi nataka nianze hyo biashara je nahitajika kuwa mtaji wa sh ngapi?
 
Za Asubuhi? Nauza SAMSUNG GALAXY NOTE1 Bei ni 250,000 .. Kwa details zaidi nicheki kwenye hii namba ya whatsapp 0712220207
 

Nauza iyo kwa 100,0000 unapata kila kitu, ukitaji nichek kwa namba hii 0653 303002
 
Nauza Samsung Galaxy note1 bei laki mbili.. Namba yangu hii hapa 0712220207
 

Attachments

  • 1452779088842.jpg
    55.5 KB · Views: 42
  • 1452779113540.jpg
    54.3 KB · Views: 41
  • 1452779132431.jpg
    57.2 KB · Views: 40
  • 1452779145750.jpg
    12.9 KB · Views: 43
Huawei y330.inataka 110k.used miezi mi4...nicheck 0719440158
 

Attachments

  • 1452779468576.jpg
    64.7 KB · Views: 39
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…