Wauza smartphone tukutane hapa

Nauza samsung galaxy s4 ( clone ) kwa 140,000
 
Natafuta blackberry Z30 mwenye anayo akuje PM
 
Blackberry bold touch 9900 kwa 80000 tu niko mwanza town
Namba yangu ni 0764339400
 

Bei mkuu ya hiyo elephone p5000 na ntaipataje??
 

Simshauri sana mtu anunue elephone p5000 kama anataka long battery life, nimetumia p5000 , lenovo p780, na thl 4400 , kati ya hizo elephone ndo ina battery dhaifu kushinda zote japo ina 5300 mah, thl 4400 ndio inakaa na chaji kwa muda mrefu kushinda zote ,ni nyepesi kushinda zote (149grams,) lenovo p780 180 grams, elephone p5000 ,200grams, Thl 4400 kwa sasa ndio the cheapest 99$ kutoka etotalk.
 
Hizi simu zingine ni nzuri sana tatizo zikiharibika kutengeneza ishu. Niliagiza lenovo p 780 nimetumia mwezi mmoja tu ikaanza kusumbua mtandao kila fundi naempa anaongea la kwake mwishowe ikabidi nikampa mtu alikuwa anakwenda China ndio akaenda kunibadilishia sababu ilikuwa ina warranty ya China tu, ukitaka simu inayokaa na chaji bora ununue Tecno L6 betri lake Lina ukubwa wa 4500mAh na inajitahidi kwa kweli kukaa na chaji na INA customer care
 
Ndugu TanduDume

Simu ya kuchukua ni Thl 4400 au Tecno l6 kwa ushauri wa wadau t blj ; Osaba - Penye wengi hapaharibiki jambo HUU MDIO UMUHIMU WA JF

Iangalie THL hapa
Code:
 http://www.etotalk.com/thl-4400-white_p5905.html

  • Ultraphone Ultra Long Standby Quad Core
  • Dual Sim
  • 5.0 inch HD
  • 3G 8.0MP
 
Last edited by a moderator:
Huawei y530 katika hali nzuri kabisa only 150,000,kama umeipenda reply with quote
 
Tecno R7 ,8mp front camera na 13mp back camera
16 gb internal storage ,5.5 screen. ipo katika hari nzuri .
bei 400,000/- wassap na. 0768244668… nipo Dodoma
 
blackberry z10. nataka k350 0754604567.bado inang'aa aina mchubuko wowote
 
About phone..HTC incredible s710e
Processor.......1 GHz
Memory (internal) 1.12 gb
Memory(external) 8gb
Display......4 inch wvga resolution.
Main camera...8 megapixels
Front camera...1.3 megapixels.
Wifi........✔
Bluetooth.....✔
Android version...4.0.4
HTC sense....3.6
Hotspot......✔
Price.. 140,000/= fixed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…