Wauza smartphone tukutane hapa

Infinix Note 7 inauzwa sh 190,000/
1.screen display 6.95
2.Ram 4gb
3.Rom 64gb
4.Battery 5000mah
Mawasiliano 0713228915
 
Tecno spark8 Haina shida inauzwa tshs140,000/=
Niko dar gmboto
0658953427
 
Sony Xperia xz1 premium
Finger print done
Gb 64
Ram 4 gb
Good condition
Haina kipengere
Location LUSHOTO TANGA
Tukielewana popote nakutumia

Sent from my SO-01K using JamiiForums mobile app
 
Ipo hela kwenye mfuko wa shati,inataka Xiomi note 10,iwe na 4Gb ram na 64 Gb memory.Isiwe yenye 5G internet
 
Hili siyo jukwaa lake
 
Mwenye S9 plus mbovu lakini kioo kizima aniuzie ninashida na kioo tu
 
SAMSUNG A03 CORE..

32GB STORAGE.. 2GB RAM..

BATTERY [emoji367] 5000 mAh..

USED LIKE A NEW [emoji95][emoji95]

DUKA LIPO KARIAKOO..

CALL[emoji1314] 0765 683 574
 
Wazee Habari.
Nauza simu yangu 1 week used
SAMSUNG S23+
RAM8
ROM 256
COlour BLACK
BEI MILIONI 2 NA LAKI 1.
Bei mserereko wanaoelewa simu tutaelewana hapa
MAUZIANO TUNAFANYA DUKANI
👉🏾Posta Samora
Mawasiliano #0673485081

 
nahitaji redmi note 11 pro au 12/12pro ama samsung s20ultra au A75.

0658644485 nitext whatApp na picha mimi nipo Dar es salaam.

Bei nzuri za kulenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…