Wauza smartphone tukutane hapa

TECNO POP4. 32 Gb storage, 2Gb RAM. Nipo Arusha, Njiro. Haina tatizo lolote. Bei 95,000. Simu 0768174862
 

Attachments

  • IMG_20230706_074716_738.jpg
    742.8 KB · Views: 17
SAMSUNG GALAXY S22 ULTRA ✨
Camera resolution: 8K
Warranty: 12 months

RAM: 8gb
💰 Tsh.2,230,000 for 128gb

RAM: 12gb
💰 Tsh.2,530,000 for 256gb
💰 Tsh.2,730,000 for 512gb

📞: +255687600847
Exchange: ✔️

 
Google pixel 4xl
Ram 6GB
Internal memory 64GB
Single line
Tshs 300K
Namba:0629 153 727
 
IPHONE 11 PRO(Pre-owned) ✨
RAM: 4gb , ROM: 64gb
Face ID & True tone: ✔️
Battery health: 82
Warranty: 12 months

💰💰 Tsh.930,000

☎️: 0687-600847
Exchange: ✔️

 
For use in specific African countries. Kwanini wameandika hivi. Ina maana nikienda nayo nje ya Afrika inakuaje
Hiyo wamemanisha kuna baadhi za nchi za Africa huwezi tumia... ila nje ya Africa unatumia kama map inavyoonyesha hapo kwenye box ni nchi chache tu.. ambayo huwezi tumia na sio ambazo unaweza tumia
 
iPhone 13 Pro max ✨
RAM: 6gb
Warranty: miezi 12

💰 Tsh.2,480,000 for gb128
💰 Tsh.2,580,000 for gb256
💰 Tsh.2,680,000 for gb512
💰 Tsh.2,780,000 for 1TB

📞: 0687600847
Exchange: ✔️

 
Vivo y22
Ram 4+4 (extended)
Rom 128
Tsh 280,000/ tu
Imetumika miezi miwili

Simu: 0695640188
 
Wakuu kwema.msaada wa utambuzi.baina ya s.series.Na a series.Kwa upande wa sumsang.Na tofaut zake.Na zip zenye ubora pia urahs.wa vifaa.nikimanisha bei bila kusahau utunzaj wa chaj.ufafanz tafadhal .nawasilisha wazee wenzangu
 
Wakuu kwema.msaada wa utambuzi.baina ya s.series.Na a series.Kwa upande wa sumsang.Na tofaut zake.Na zip zenye ubora pia urahs.wa vifaa.nikimanisha bei bila kusahau utunzaj wa chaj.ufafanz tafadhal .nawasilisha wazee wenzangu
S series ndo bora na hiyo inaonekana hata kwenye bei tu...

Vifaa vya S series ni gharama zaidi kuliko A series
 
GOOGLE PIXEL 7PRO ✨
RAM: 8gb
Camera resolution: 4K
Warranty: 12 months
📌 OFFER: Fast charger, Cover & Protector


💰💰 Tsh.2,180,000 for 128gb
💰💰 Tsh.2,480,000 for 256gb


📞: 0687600847
Exchange: ✅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…