Wauza smartphone tukutane hapa

Nahitaji kubadilisha kioo cha huawei ascend mate 7, mwenye taarifa tafadhali tuwasiliane 0716868394
 
Nna taka io nokia lumia 620 nna mia thelathini na nnakuongezea sm yang bio kam tukikubaliana
 
Vodafone smart kicker VF685 bought from Vodacom line moja tu ya Vodacom 45,000/= Original.
 
Habari wadau, kwa anaehitaji simu zifuatazo tuwasiliane
Vega no. 6
Vega Iron
Samsung Galaxy Grand
LG Optimus LTE II
Note II
Vega Secret Up
Samsung Galaxy Win


Pia Samsung Galaxy Tab 7 inch inapatikana ambayo unaweza kuweka simcard na kutumia kwa kupiga simu na kufanya mobile transaction eg. tigopesa, m-pesa etc

Vitu vyote ni bidhaa kutoka Korea.
 
Weka bax pcha na specification zake tufke dau and uxsahau kuweka na bei
 
Nauza Galaxy note 2, mpya. Imetumika siku 2 tu, ina screen protector,cover ya nyuma na chaji. Bei ni 300k fixed. Kwa aliye serious anitafute kwa 0755783420 nipo Dar.
Weka picha zake na ata specification zake ili watu wavtiwe kufka bei
 
Weka bax pcha na specification zake tufke dau and uxsahau kuweka na bei
Specs zinatofautiana kutoka simu moja na nyingine, halikadhalika bei pia. Taja ambayo upo interested nayo nitakupa details zake.
 
Nahitaj Any Window Phone Nzur Mwenye Nayo Anichek Fastaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…