Wauzaji Bora Wanahitajika Haraka, Malipo Laki 3 Mpaka Milioni 3

Wanatumia fursa ya ukosefu wa Ajira kumeki mane.
 
Mnataka kuwapiga vijana sente. Hamna kitu hapa zaidi ya kupoteza muda
 
Anapata hela kwa kuuza motivation speaker na vitabu. Mbona hizi mambo zinajulikana akina Jim Rohn,Andrew Carnegie,Tony Robinson, Cate lee, Robert kiyosaki ndio kazi zao hizi. Mtu anashauri kuhusu biashara Ila mwenyewe Hana ubavu wa kuifanya.


Binadamu Ni ngumu mno wa kubadilika anajua kitu Ila hawezi kukifanya.

Ila ngoja watumotivetiveti jamani.
 
Mdogo wangu katawa kaka zako tunaelewa tunachokisema!!!!Kuandika vitabu au kua Dokta sio Tija!!!Huyu Dokta sio wa kwanza kuja na drama za kisomi!!!Tunajuana wasomi wa darasani na wasomi wa kitaani(STREET EMPLOYEES) ndio Maana tunamuona anazingua
 
Neno mauzo limeandikwa Mara 21 ..kwa hio nisipouza sili?
 
Hii mbinu anayoongea hapa ukiwa nayo unaitumia kwenye biashara zako unatoka kuliko kuwa mtumwa jamani. Ukiwa chinga uko serious miaka mitatu mpaka mitano una duka lako
Uhalisia kitu kingine kabisa!!!Ushawahi kua chinga mdogo wangu au kujiajiri??????Ebu tumia hii mbinu wewe kwanza afu uje utupe mrejesho mdogo wangu
 
Umekuja na ID ingne ? 😁 Pole Sana huku hutopata kitu
 

Vitabu ni shuleni huko, huku mtaani kuna wahuni hawajui vitabu wana mpunga mrefu.
Acheni kutapeli watu aisee

Motivational speakers mnazingua sana
 
Mdogo wangu katawa kaka zako tunaelewa tunachokisema!!!!Kuandika vitabu au kua Dokta sio Tija!!!Huyu Dokta sio wa kwanza kuja na drama za kisomi!!!Tunajuana wasomi wa darasani na wasomi wa kitaani(STREET EMPLOYEES) ndio Maana tunamuona anazingua
Mkuu sina hakika kama wewe ni mkubwa kwangu, mimi nina 48.
Pia mimi ni mfanyabiashara wa kitambo na huwa naongeza maarifa kwa kusoma vitabu mbalimbali.
Mojawapo kati ya vitabu bora kabisa kwangu nilivyowahi kusoma vya mafunzo ya fedha ni elimu ya msingi ya fedha na chuo cha mauzo vya huyu Dr Makirita.
Pia kuna jamaa ninaowafahamu anawafanyia Semina za mafunzo ya Ujasiriamali na wanafanya vizuri.
Kwenye thread yake kaandika kabisa kuwa yeye hauzi bidhaa bali maarifa.
 
Nimekuzidi mdogo wangu!!!!48yrs bado kijana kua na amani!!!Nimeongea kwa uzoefu wangu binafsi wa maisha ya kitanzania!!!!Kua na amani
 
Nimeishia hapo alipoandika "hauzi bidhaa ila maarifa"
Dunia hii nani anayekosa hayo maarifa akiamua kuyatafuta!? Watu wanahitaji pesa kuhamisha maarifa yao kwenye utekelezaji na si blah blah.
 
Watu wa mauzo bado wanahitajika kwa wingi.
Karibuni kwa wale wenye uhitaji wa kazi na walio tayari kujifunza na kujituma.
 
Mshahara mil 3 afu Elimu haijalishi,, Nchi ambaya ni ngumu kuiamini ni Tanzania kila kitu ujanja ujanja tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…