Wauzaji/ muuzaji kuku wa kienyeji na kisasa kwa bei ya jumla tuwasiliane kwa Dar es salaam

alumn

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2018
Posts
2,370
Reaction score
3,163
Hello guys kwema. Naamin mpo sawa sawa

Naomba kwa mfanyabiashara/ mjasiriamali anaeuza kuku wa kienyeji pure na kuku wa kisasa broila tafadhali naomba tuwasiliane tufanye biashara...kwa Dar es salaam itapendeza sana..
 
Write your reply...Hao kumi unahitaji kwa muda gani? au utakuwa unahitaji kila baada ya muda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…