Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mambo mazito hayo mcheki kiduku lilo, hivi kwa bajeti gani ya chini zaidi naweza kuoata pete kama hiyo au nzuri ya kawaidaMmelala mapema hii
mkuu, sina ufahamu na hizi vitu,na mimi nimekuja hapa kupata hintsNata
Natafuta nzuri zaidi,isiyo na mchanganyiko na mawe mengine.vp kwa dar siwezi pata
Anajinasua na msongo wa mawazo;lakin mkuu hii comment yako inahusiana nini na maada yanguMeona clip mdada amemaliza weka udongo kwenye kaburi la mumewe, kisha akavua pete na kudondoshamo kaburini. Mejiuliza kwamba kwa kufanya ivo ndo anajinasua na mawazo/ndoa ama kutangaza jimbo huru ama
"Ukiona unasoma kitabu na haukiekewi tambua wewe sio mlengwa"Anajinasua na msongo wa mawazo;lakin mkuu hii comment yako inahusiana nini na maada yangu
Elimu niliyopata, wewe hukuwahi kuipata so acha kila mmoja afanye anachojua"Ukiona unasoma kitabu na haukiekewi tambua wewe sio mlengwa"
Comment inaeleza kuwa pete ni pambo tu halina uhalisia wa muunganiko wa pingu ya ndoa kama wanavyoiita wengi kuwa ndoa ni pingu za maisha.
Bali pingu au uwajibikaji wa kuthamini, kulinda na kutetea ndoa umo ndani ya mioyo au tuiite nguvu ya sirini isiyohitaji kuonwa na kila mtu!
Usipaniki, hatujuani. Elewa gist, huwezi kuwa mjuvi wa vyote. Hii ni fasihi. songa mbele.Elimu niliyopata, wewe hukuwahi kuipata so acha kila mmoja afanye anachojua
Nashukuru umekiri hauziwezi. Case closed. Tuwape nafasi wengine.Ivi umeelewa maada inasemaje?hizo ngonjera me siwezi.....
Masikini muda wote anawaza ngono tu🤣🤣🤣Nashukuru umekiri hauziwezi. Case closed. Tuwape nafasi wengine.
Mimi nimechangia kufafanua hoja ya aliyesimulua tukio la mdada kuvua pete msibani. Ukifuata mtiririko wa maelezo ya msimuluaji utaona hakika dada alidhamiria 'kulivua pendo la mwendazake-mume' kuwa ndio mwisho wa pendo/ndoa. Na ile iliyovuliwa ilikuwa PETE yenye ishara ya uwepo nafsi ya mtu muhimu moyoni. Na mada yako inahusu pete. Hivyo mtia comment alitumua kinaya/kejeli kuwatahadharisha hadhira kuwa pete, hususani za nyakati hizi ni just pambo au mvuto au iwakilishe 'imani' fulani ila isihesabiwe uthabiti wa kiapo cha ndoa hasa kile kipengele "......hadi umauti"
Umeelewa sasa?
Hhaaaaa mewaza huenda pete alotupa kaburini ndo aina ya pete ulokuwa unahitaji, changamoto mtupaji hakujua kuwa kuna wahitaji kama weweAnajinasua na msongo wa mawazo;lakin mkuu hii comment yako inahusiana nini na maada yangu
Jambo liko wazi hapoMeona clip mdada amemaliza weka udongo kwenye kaburi la mumewe, kisha akavua pete na kudondoshamo kaburini. Mejiuliza kwamba kwa kufanya ivo ndo anajinasua na mawazo/ndoa ama kutangaza jimbo huru ama