Villanova tito
Senior Member
- Dec 20, 2016
- 148
- 154
Nasikia kuna wahuni wachache wanafungua afu wanafunga upya.natamani kurudia hii biashara ila nikikumbuka maronya mnayofunga humo ndani naishiwa pawa
Nlianza vizuri,ila ilikuja kunitenda vibaya mnoo. Balo 3 mfululizo nakutana na mataka taka kidogo niwehuke 😭Nasikia kuna wahuni wachache wanafungua afu wanafunga upya.
Sasa Belo 3 tu ndio zikuwehusheNlianza vizuri,ila ilikuja kunitenda vibaya mnoo. Balo 3 mfululizo nakutana na mataka taka kidogo niwehuke 😭