INAUZWA Wauzaji wa bidhaa mbalimbali toka china kwa bei rahisi kabisa

INAUZWA Wauzaji wa bidhaa mbalimbali toka china kwa bei rahisi kabisa

Amos Moses

Member
Joined
Apr 9, 2020
Posts
16
Reaction score
15
1:LCD WRITING TABLETS
Hizi Kwaajili ya watoto zinapatikana !! !! !
8.5 inches 10,000
10 inches 13,000
12 inches 16,000
[emoji3504]Hizi ni nzuri sana kwa watoto wanaojifunza kuandika na kuchora inamchangamsha mtoto akili yake.
[emoji3504]inakuza uwezo wa mtoto kuandika hazitumii umeme kama mtoto anatabia ya kuchora ukutani hii inamfaa sana [emoji3504]Pia mtoto anaweza kutumia kalamu ya kawaida kama kalamu maalum ikipotea.
[emoji3504]Mtoto anaweza kufuta mara nyingi awezavyo.Zipo za rangi zote kama zinavyoonekana.
IMG_0544.jpg

IMG_0543.jpg


Tupigie sasa au whatsup 0762619116 .Tupo manzese tiptop jirani na Jm hote .


2:5 in 1 BEAUTY SKIN CARE BRUSH
[emoji3504]Ni brush nzuri sana inayosafisha ngozi yako mara sita zaidi kushinda unapoosha kwa mikono Kazi zake
[emoji3504]Inaondoa madoa usoni (reduce acne)
[emoji3504] Inaondoa uchafu (removes dirty)
kwenye vitundu vya ngozi hivo kupunguza mlundikano wa mafuta unaoweza kupelekea chunusi (clean pores).
IMG_9554.jpg

[emoji3504]Inaondoa madoa ya chunusi (removes blackheads)
[emoji3504]Inaondoa mabaki ya makeup kama tunavofahamu ni kazi sana kuondoa makeup usoni (removes makeup residues)
[emoji3504]Inaondoa ngozi ilokufa juu ya uso (gentle exfoliation) Inakuja na blush zake tano, ya kusafishia uso wote, ya kuondolea makeup, ya kusafishia sehemu laini za uso kama vile ngozi karibu na macho na mashavu, ya kuondolea ngozi ngum iloharibika usoni na ya kufanyia massage Ni water resistant na inatumia battery.
price:12,000/=
Tupigie sasa au whatsup 0762619116 .Tupo manzese tiptop jirani na Jm hote
IMG_9552.jpg

IMG_9553.jpg

IMG_9547.jpg

IMG_9544.jpg



3: vintage T9 machine/shavers
[emoji845][emoji845]Available [emoji845]
Huna haja ya Kuchangia mashine au kutumia viwembe Tumia vintage T9.
[emoji3504]Mashine hizi zina sifa Nyingi kwa matumizi Binafsi na Saloon
[emoji3504]Inatunza Chaji Mwezi Mzima unanyoa staili yoyote bila shida kipara au kawaida na kuchonga Jinsia yoyote watoto na watu wazima Inatoa ndevu, Nywele za kichwani na za sehemu za Siri.Bei yake 10,000/= tu Delivery ipo Dar na Mikoani tunatuma pia.Call or whatsup 0762619116.
IMG_0699.jpg

IMG_0687.jpg

IMG_0685.jpg

IMG_0686.jpg



4: FOOT GRINDER MACHINE :
[emoji3504]Hii ni Machine maalum kwa ajili ya kuondolea magaga [emoji3504]Kulainisha miguu
[emoji3504]Inaondoa ngozi ilokufa, haiumizi inafanya miguu yako inakua mizuri na laini .Ni rechargeable .. unachaji na kuitumia
price:20,000/=
Jipatie yako sasa tupigie au whatsup 0762619116 .Tupo manzese Tiptop jirani na Jm hotel.
IMG_0703.jpg

IMG_0702.jpg

IMG_0541.jpg

IMG_0540.jpg


5:Bladeless necklace
fan now Available
Price:20,000/=kazi zake:
[emoji3504]Inakusaidia kukupa hewa safi wakati wa mazoezi (gym)
[emoji3504]Hukuepusha na joto kali wakati wa kupika
[emoji3504]Hukupa utulivu wakati wa kusoma kwa hewa safi.
Tupigie au whatsup +255762619116 & Tupo Manzese Tiptop jirani na JM hotel…
Nb:Mikoa yote tunatuma pia kwa uaminifu.
IMG_0380.jpg

IMG_9768.jpg


6😛ORTABLE WATER DISPENSER:
Ni ndogo na rahisi sana kutumia Hii ni rechargable (Inakuja na USB cable yake)
[emoji3504]Inakuja na SS304 steel pipe
[emoji3504]Inatumika kwa madumu ya maji ya lita 1.5,5.7,10,11.3,15 na 18L
[emoji3504]unaweza tumika pia kwenye vimiminika vingine km juice,wine nk.
price:
Rejareja :15,000/=
Jumla:12,000/= kuanzia pcs 3.
Tupigie sasa au whatsup 0762619116 .Tunapatikana Manzese tiptop karibu na Jm hotel.
Nb:Tunafanya delivery kwa Daresalaam na mikoani tunatuma.
IMG_0423.jpg

IMG_0427.jpg

IMG_0428.jpg

IMG_0422.jpg


7: LED human sensor light
[emoji3504]Ina mwanga mzuri
[emoji3504]Rechargeable .Unaichaji na kuitumia
[emoji3504]Ina kaa na charge wiki nzima
[emoji3504]Ni rahisi kuitumia na haihitaji kuunganishwa,una iweka sehemu na kuitumia
[emoji3504]unaweza kuitumia Chumbani,jikoni, washroom,kabatini .
Jipatie yako sasa.
Price:
10,000/= tu
Call or whatsup 0762619116.Tupo Manzese tiptop jirani na JM hotel.
IMG_9778.jpg

IMG_8705.jpg

IMG_9780.jpg


8: Mms_brandtz tumewaletea bracelets ambazo unaweza andika jina lako au la yoyote umpendaye..

bei ya bracelet moja ni 5,000 na una andika jina lolote.
[emoji3504]Tupo manzese,Tiptop(Daresalaam)
[emoji598]Mikoani tunatuma kwa uaminifu zaidi
call/whatsApp #0762619116
IMG_0667.jpg

IMG_0668.jpg
 

Attachments

  • IMG_0543.jpg
    IMG_0543.jpg
    73.4 KB · Views: 9
  • IMG_0702.jpg
    IMG_0702.jpg
    71.8 KB · Views: 10
  • IMG_0541.jpg
    IMG_0541.jpg
    40.1 KB · Views: 10
  • IMG_0381.jpg
    IMG_0381.jpg
    47.4 KB · Views: 10
No.1 is it rechargeable? Au bettry yake ikoje?
 
Back
Top Bottom