Wauzaji wa Jumla: Naomba kufahamu bei ya hivi vitu nataka niviongezee dukani kwangu

Wauzaji wa Jumla: Naomba kufahamu bei ya hivi vitu nataka niviongezee dukani kwangu

benjamathayo

Member
Joined
May 22, 2018
Posts
76
Reaction score
80
Wauzaji wa vifaa vya umemekwa jumla na rejereja naomba kufahamu bei ya vitu hivi nataka niviongeze dukani kwangu.

1-Majiko ya umeme.
2-Pasi
3-Hita
4-Blenda zakusagia juisi.

Mwenye kuuza hivi vitu kwabei ya jmla naomba anipe mawasiliano na bei zake.
 
Siti ya mbele kabisa nami nasubiri hapa.
 
Blenda zakusagia juisi.
Naomba nijibu hapa kwa blender ukiagiza China bei ya blender moja 55000 ukiweka usafiri 30,000 na hizo blender unaweza kuiuza 150,000/= ni heavy duty blender hata ukiiuza 120k bado una faida nzuri.
 
Shukurani sana ndugu naendelea kusubiri maelekezo na ushauri zaidi.
 
Back
Top Bottom