benjamathayo Member Joined May 22, 2018 Posts 76 Reaction score 80 Apr 16, 2021 #1 Wauzaji wa vifaa vya umemekwa jumla na rejereja naomba kufahamu bei ya vitu hivi nataka niviongeze dukani kwangu. 1-Majiko ya umeme. 2-Pasi 3-Hita 4-Blenda zakusagia juisi. Mwenye kuuza hivi vitu kwabei ya jmla naomba anipe mawasiliano na bei zake.
Wauzaji wa vifaa vya umemekwa jumla na rejereja naomba kufahamu bei ya vitu hivi nataka niviongeze dukani kwangu. 1-Majiko ya umeme. 2-Pasi 3-Hita 4-Blenda zakusagia juisi. Mwenye kuuza hivi vitu kwabei ya jmla naomba anipe mawasiliano na bei zake.
Lelyonka Senior Member Joined Apr 14, 2021 Posts 156 Reaction score 154 Apr 18, 2021 #2 benjamathayo said: Wauzaji wa vifaa vya umemekwa jumla na rejereja naomba kufahamu bei ya vitu hivi nataka niviongeze dukani kwangu. 1-Majiko ya umeme. 2-Pasi 3-Hita 4-Blenda zakusagia juisi. Mwenye kuuza hivi vitu kwabei ya jmla naomba anipe mawasiliano na bei zake. Click to expand... Siti ya mbele kabisa nami nasubiri hapa.
benjamathayo said: Wauzaji wa vifaa vya umemekwa jumla na rejereja naomba kufahamu bei ya vitu hivi nataka niviongeze dukani kwangu. 1-Majiko ya umeme. 2-Pasi 3-Hita 4-Blenda zakusagia juisi. Mwenye kuuza hivi vitu kwabei ya jmla naomba anipe mawasiliano na bei zake. Click to expand... Siti ya mbele kabisa nami nasubiri hapa.
kokudo JF-Expert Member Joined Oct 26, 2010 Posts 2,571 Reaction score 1,760 Apr 19, 2021 #3 benjamathayo said: Blenda zakusagia juisi. Click to expand... Naomba nijibu hapa kwa blender ukiagiza China bei ya blender moja 55000 ukiweka usafiri 30,000 na hizo blender unaweza kuiuza 150,000/= ni heavy duty blender hata ukiiuza 120k bado una faida nzuri.
benjamathayo said: Blenda zakusagia juisi. Click to expand... Naomba nijibu hapa kwa blender ukiagiza China bei ya blender moja 55000 ukiweka usafiri 30,000 na hizo blender unaweza kuiuza 150,000/= ni heavy duty blender hata ukiiuza 120k bado una faida nzuri.
benjamathayo Member Joined May 22, 2018 Posts 76 Reaction score 80 Apr 20, 2021 Thread starter #4 Shukurani sana ndugu naendelea kusubiri maelekezo na ushauri zaidi.