Gadi Marko
Member
- Feb 8, 2022
- 30
- 1
Ikifikia 3.5m nitafute
Unaweza Pata Gari Kama Passo ila ni namba C na kuendelea au Hata CarinaMkuu 3.5 unaweza kupata gari gani?
Tuma vzr hizi picha hazifungukiUnaweza Pata Gari Kama Passo ila ni namba C na kuendelea au Hata Carina
View attachment 2213357View attachment 2213358
Hiyo Passo ya brown Inahitaji 6.2m tuuTuma vzr hizi picha hazifunguki
Naomba Kiongozi tuwasiliane Kwenye namba hii 0777994134Tuma vzr hizi picha hazifunguki
Passo 6.2m halafu Rav 4 7m! 🤔Hiyo Passo ya brown Inahitaji 6.2m tuu
Wkt nyeusi ni 7.3m
Toyota RAV4 7m lkn Yote hayo mnaweza kuongea kwan Muda unakaribia wa kuyauzaView attachment 2213536View attachment 2213535View attachment 2213533View attachment 2213534
Mkuu,ebu kuwa serious kidogo... Passo 6.2M!??????Habari ndugu zangu,
Tukutane hapa kwaajili ya maulizo ya magari Kwa Bei Poa kabisa na pia kuuliza swali lolote kuhusu magari
Kwa maulizo madogo madogo tunaweza wasiliana Kwa 0777994134
Kwa mfano ::Toyota Passo hiyo Inahitaji 6.2m tu
View attachment 2213227
Ndio Kiongozi hatutaniiMkuu,ebu kuwa serious kidogo... Passo 6.2M!??????
Ni kweli na sababu Nikwamba ni minada na mtu anashindwa kumaliza mikopo Ndio maana tunamsaidia kihivyoMkuu,ebu kuwa serious kidogo... Passo 6.2M!??????
Hiyo pesa ni kubwa sana kwa Passo...Ni kweli na sababu Nikwamba ni minada na mtu anashindwa kumaliza mikopo Ndio maana tunamsaidia kihivyo
3.5 ndio bei sahihi kwa paso hiyoNi kweli na sababu Nikwamba ni minada na mtu anashindwa kumaliza mikopo Ndio maana tunamsaidia kihivyo
Mkuu, ebu jaribu kuringanisha hii passo na ya kwako...Ni kweli na sababu Nikwamba ni minada na mtu anashindwa kumaliza mikopo Ndio maana tunamsaidia kihivyo
Nimeona Kiongozi na Asante Sana nijambo zuri kuelimishana. Ngoja niwasiliane naoMkuu, ebu jaribu kuringanisha hii passo na ya kwako...View attachment 2214131