Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
Serikali pamoja na vitengo vyenu vinavyonunuwa mahindi mnatutia hasira wakulima, hebu fikiria toka tumepeleka mahindi mwezi wa 8 hadi sasa hatujapata malipo yetu.
Hiki kilio si mimi ninayeandika ndiyo naumia peke yangu na kurudishwa nyuma malengo yangu bali wapo wengi nyuma yangu zaidi ya 50 kwenye maeneo ninayoishi.
Nahitimisha kwa kusema mtulipe fedha zetu sitaki kutumia neno naomba mtulipe kwani ni haki yetu na matokeo ya nguvu zetu.
Katika sisi tunaodai hakuna mkulima anayetumia trekta ni jembe la mkono tunachoka kweli.
Ufafanuzi wa Serikali soma hapa: Serikali yatoa ufafanua kuhusu madai ya Wauza mahindi kudai kucheleweshewa malipo ya Mahindi