Trekta Bora
Member
- Jan 25, 2023
- 9
- 10
Hizo bei ni pamoja na VAT au Exclusive?Tunauza trekta aina ya Lovol,
Lovol 754-75HP 4WD bei ni 53,000,000/= Tsh
Lovol 504-50HP 4WD bei ni 39,000,000/= Tsh
Trekta zetu ni imara, zenye nguvu na utumiaji wa mafuta mdogo.
Mfano; HP 75 4WD inatumia wastani wa lita 5 kwa heka moja.
Mfano 2; HP 50 4WD inatumia wastani wa lita 3 kwa heka moja.
Tunazua kwa cash na mkopo kupitia bank na taasisi za kifedha mbalimbali zikiwamo : CRDB, NMB, EFTA na PASS
Karibuni sana, tunafanya kazi Tanzania nzima.
Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0717217520
Tractors hazina VAT mkuu, hizo bei ni pamoja na registration.Hizo bei ni pamoja na VAT au Exclusive?
Nakushukuru sana Kiongozi nitawasiliana nanyi mapema nichukue walau hako ka Sh 39m.Tractors hazina VAT mkuu, hizo bei ni pamoja na registration.
Kila kifaa cha trekta (kama jembe, harrow, rotor) kina bei yake, bei elekezi nilizoandika hapo juu ni bei ya trekta pekee.Vp zinakua na rotta,jembe,halo disk je
DuhKila kifaa cha trekta (kama jembe, harrow, rotor) kina bei yake, bei elekezi nilizoandika hapo juu ni bei ya trekta pekee.