wauzaji wa mitumba naombeni ushauri

wauzaji wa mitumba naombeni ushauri

Hsante brother pia naomba ushauri gredi zake zikoje kwamba gred flan ziko hiv hizi vile yaan za akina dada blauzi au gauni na za watoto wa umri gani
Kwanini umeamua kuchagua nguo za mtumba? Na biashara unafanyia wapi mkuu? Mkoa gani? Na unazaje yani unaweka kwenye frem au unatembeza?
 
Back
Top Bottom