Wauzaji wa pikipiki za japani honda au yamaha 250-400cc

Wauzaji wa pikipiki za japani honda au yamaha 250-400cc

FORWARD

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
740
Reaction score
293
Habari, natafuta maduka hapa dar es salaam ambapo naweza kupata pikipiki ya honda ama yamaha, 250-400 cc iliyotumika nje ya Tanzania.
 
Kuna yard iko kigogo first inn Kona ya kwenda manzese zipo pikipiki, boat caterpillar na korokoro nyingi used
 
Back
Top Bottom