Wauzaji wa simu msaada

Wauzaji wa simu msaada

Muulize asha mwenyewe lakini itakuwa kwenye 155000tshs
 
mm nili nunua mwezi june pale posta mpya dar ilikuwa 250,000/= Tshs. Kiufupi ni simu nzuri utaipenda haina tatizo lolote labda kama utakuwa unahitumia kuangalia videos au kusikiliza music itakubidi utembee na chaja na hilo ni kawaida kwa devices nyingi zinazo tumia betry .utaipenda
 
Back
Top Bottom