mm nili nunua mwezi june pale posta mpya dar ilikuwa 250,000/= Tshs. Kiufupi ni simu nzuri utaipenda haina tatizo lolote labda kama utakuwa unahitumia kuangalia videos au kusikiliza music itakubidi utembee na chaja na hilo ni kawaida kwa devices nyingi zinazo tumia betry .utaipenda