Wauzaji Wa Tipper Truck Howo, Faw na Scania Mende wapo wapi?

Wauzaji Wa Tipper Truck Howo, Faw na Scania Mende wapo wapi?

Annie91

Member
Joined
Sep 30, 2022
Posts
12
Reaction score
40
Habari wadau naomba zilipo yard za tipper truck howo,faw na scania mende au yard au ofisi zao kwa dar
Thanks
 
Habari wadau naomba zilipo yard za tipper truck howo,faw na scania mende au yard au ofisi zao kwa dar
Thanks
Km unaelekea Airport ukitokea Buguruni kwenye flyover ya Mfugale unapita Tazara unaaambaa mpaka hapo panaitwa kalakana angalia upande wako wa kulia kabla hujafika Vingunguti usifike njiapanda ya Jetrumo wewe angalia kulia kuna ofisi ipo bonge la Jengo zipo hapo za kumwaga tu ni wewe na Pesa yako na ukitaka TATA zipo upande huo huo wa kulia
 
Back
Top Bottom