Km unaelekea Airport ukitokea Buguruni kwenye flyover ya Mfugale unapita Tazara unaaambaa mpaka hapo panaitwa kalakana angalia upande wako wa kulia kabla hujafika Vingunguti usifike njiapanda ya Jetrumo wewe angalia kulia kuna ofisi ipo bonge la Jengo zipo hapo za kumwaga tu ni wewe na Pesa yako na ukitaka TATA zipo upande huo huo wa kulia