Wauzaji wa vifaa vya umwagiliaji

Wauzaji wa vifaa vya umwagiliaji

Godfrey Sway

Member
Joined
Apr 13, 2018
Posts
41
Reaction score
36
Usiogope Kuhusu Gharama Wala Ukubwa Wa Shamba.
Farmside Company Tupo Kwaajili yako.
Baada ya kukamilisha kufunga mfumo wa drip, mapema mteja amepanda Miche ya Mboga Mboga Aina tofauti tofauti kwenye hizi plot 3, kila plot ina uwezo wa kubeba na Miche 1600-1650.
Baada ya week 3 Mkulima ataanza Kuvuna mboga mboga kwenye hili Eneo.
Karibu Uhudumiwe nasi kwenye Kilimo cha umwagiliaji, greenhouse, Miche ya Matunda, Vifaa Vya Kilimo na Mabwawa ya kutunzia maji Shambani.
Tembelea Farm Side Company Ltd Morogoro au
Piga simu Leo:
0752799673 / 0746850361.View attachment 3019278
IMG-20240617-WA0002.jpg
View attachment 3019281View attachment 3019280View attachment 3019279
Image_1713161426987.jpg
 
Vitu vyote unavyotakiwa kufahamu kuhusu vifaa vya umwagiliaji wa matone.

1. Drip Tape.
Hakikisha inakuwa na vipimo hivi, unene 0.4mm, mzunguko 16mm, umbali Kati ya tundu na tundu inaweza kuwa 30cm, 20cm au 60cm kulingana na Aina ya mazao. Urefu kwa roller unaweza Mita 1000, au 500m.

2. Conekta. kuanzia raba, start, fast, na Endcap. Hakikisha zote zinakuwa ni 16mm.

3. Blind pipe. Haina matundu, raundi, unene 0.9mm Hadi 1.2mm. Hii inatumika zaidi kwenye umwagiliaji wa Miti Ya Matunda. Pia inatumika kama sehemu mfumo kwenye drip za mboga mboga.

4.Filter / Chujio. Zipo size tofauti tofauti kuanzia inch 1, 1.5, 2, na inch 3. Hii itakusaidia kwenye kuchuja matope yasizibe matundu ya drip.

FARM SIDE COMPANY LTD
Tumekuletea Vifaa Bora Zaidi Vya umwagiliaji.
Tupo Morogoro Mjini karibu na Mahakamani Nunge.
Tupigie Leo

0752799673/ 0746850361.
Popote tutakufikia.

IMG-20240626-WA0007.jpg
View attachment 3031578
 
Back
Top Bottom