Wauzaji Wavijora kwa bei ya jumla

Wauzaji Wavijora kwa bei ya jumla

Mike Moe

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2019
Posts
319
Reaction score
335
Habari za asubuhi wanajamii
Kwa waleo wauzaji wa vijora kwa bei ya jumla naomba kujuzwa bei zikoje niko mkoa mnaweza tuma pia sample za picha kama mko nazo
 
Mkuu nifatee pm..
Vijora vipo vya kila aina kwa bei ya jumla na reja reja inategemea weww unataka vya namna gani.
 
Back
Top Bottom