Wavamizi wa WestGate ni Uhuru na Ruto?

Mawazo mengine kama haya huweza hata kuchochea chuki bila sababu!
 
Kwamda wa siku mbili za mwisho hapakuwemo watekaji tena mle,na ile milio ya risasi yasemekana ilikua inaelekezwa kwenye cash machine,safe,milango ya maduka etc katika uporaji.
 
Kakojoe ulale pimbi weee,
:smile-big::smile-big:

Sijawahi,,kucheka hivi karibuni,,kama leo.

We we we,,,yaani,,kunawatu.

Lakini hii,,,eti conspiracy theory,,,,wa wa wa,,hii ni ya future,,kama 2087,,August.
 
Na hao al-shabab wanaojitapa kuwa wao ndio wamefanya hilo tukio pia wamepangwa?
 
yote yanawezekana.kama usalama wa tz walitumia babu wa loliondo,watu waio na idadi wakafa.ata hii yaweza kuwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…