T thadei kimambo JF-Expert Member Joined Jan 31, 2013 Posts 220 Reaction score 126 Mar 21, 2014 Thread starter #21 Elimu ya tz yakivivuvitu tu.
Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,478 Reaction score 3,659 Apr 6, 2014 #22 thadei kimambo said: Kaa ukijua zaidi ya watu 2580723500 duniani ni wavivu,na wewe ni mmoja kati yao kwa sababu hujajisumbua hata kusoma hiyo idadi ya wavivu wenzako....UONGO? Click to expand... Si uvivu bali kuna watu hawajui kuwasilisha tarakimu. Mfano laki mbili huandikwa hivi 200,000. Sio 200000
thadei kimambo said: Kaa ukijua zaidi ya watu 2580723500 duniani ni wavivu,na wewe ni mmoja kati yao kwa sababu hujajisumbua hata kusoma hiyo idadi ya wavivu wenzako....UONGO? Click to expand... Si uvivu bali kuna watu hawajui kuwasilisha tarakimu. Mfano laki mbili huandikwa hivi 200,000. Sio 200000
T thadei kimambo JF-Expert Member Joined Jan 31, 2013 Posts 220 Reaction score 126 Apr 7, 2014 Thread starter #23 Haya bhana
G Gerco Senior Member Joined Sep 11, 2016 Posts 154 Reaction score 62 Sep 19, 2016 #24 Weweeeeee kayakoroga mwenyewe hajui hata kuandka tarakimu
S Sting007 JF-Expert Member Joined Jul 27, 2011 Posts 274 Reaction score 43 Sep 19, 2016 #25 du, hata mimi nipo kati ya hao. Ni hatari....
UHURU JR JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 16,543 Reaction score 7,880 Sep 20, 2016 #27 Mleta mada nawe pia ni mvivu,maana hujajisumbua hata kufanya uhakika kwa ulichokisema kuwa Mimi ni mvivu wakati nimesoma hiyo idadi.
Mleta mada nawe pia ni mvivu,maana hujajisumbua hata kufanya uhakika kwa ulichokisema kuwa Mimi ni mvivu wakati nimesoma hiyo idadi.