J jesacho Senior Member Joined Mar 2, 2015 Posts 115 Reaction score 13 Mar 22, 2015 #1 Wanafwatilia zaidi vipindi ambavyo walimu hawataingia kuliko vipindi ambavyo wadhahili wataingia. Wakiingia darasani mdhahili asipokuwepo macho yote kwenye saa yaani inapofika nusu saa tu wa kwanza kuondoka wala hata hawageuki nyuma.
Wanafwatilia zaidi vipindi ambavyo walimu hawataingia kuliko vipindi ambavyo wadhahili wataingia. Wakiingia darasani mdhahili asipokuwepo macho yote kwenye saa yaani inapofika nusu saa tu wa kwanza kuondoka wala hata hawageuki nyuma.
UNDENIABLE JF-Expert Member Joined Feb 26, 2013 Posts 2,326 Reaction score 1,314 Mar 22, 2015 #2 Duuuuu yaani hata sijakuelewa ndugu yangu