Wavivu wa kuiingia kwenye mihadhara

jesacho

Senior Member
Joined
Mar 2, 2015
Posts
115
Reaction score
13
Wanafwatilia zaidi vipindi ambavyo walimu hawataingia kuliko vipindi ambavyo wadhahili wataingia.

Wakiingia darasani mdhahili asipokuwepo macho yote kwenye saa yaani inapofika nusu saa tu wa kwanza kuondoka wala hata hawageuki nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…